Rupia ya Zanzibar

Rupia ya Zanzibar Ilikuwa sarafu ya Zanzibar kuanzia mwaka 1908 hadi Desemba 31, 1935. Iligawanywa katika "senti" 100


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy